• info@hmc.ac.tz

  • Call Us:(+255) 753 867 114

  • Time:Mon-Sat: 08.00-17.00

Tarehe 21-23 Agosti 2019, wasanii, wataalum wa media, viongozi wa jamii katika Afrika Mashiriki wanakuja Chuo cha Habari Maalum huko Arusha, Tanzania kwa kuunganisha na kukua katika uzalishaji wa media, utungaji wa nyimbo, na uabudu wa kibiblia. Mambo ya kuzumgumza yanaotaka kuwepo ni sanaa za moyo na jukumu lao katika kuimarisha na kupanua uabudu wa Kikristo, kuzalisha nyimbo za ubora na sanaa nyingine na teolojia imara na maudhui ya kiutamaduni husika, na kubuni programu ya vyombo vya habari ambayo ina maana kwa wasikilizaji wako. Vitendo vyote vitakuwa vya vitendo.

Tunatarajia kwamba washiriki wote watakwenda mbali na tukio hili kwa kuelewa zaidi ya maana ya kuabudu kutoka moyoni, hasa kwa njia ya sanaa na utamaduni, pamoja na kukua katika ujuzi na akili unaofaa kwa utaalum wao.

Sauti ya Afrika Mashiriki Jukwaa la Vyombo vya Habari

21-23 Agosti, 2019

Chuo cha Habari Maalum, Ngaramtoni, Arusha, Tanzania

Mkusanyiko wa kikanda kufahamiana na kukua katika uzalishaji wa vyombo vya habari, utungaji ya nyimbo, na kuabudu ya kibiblia.

Kwa mwasiliano zaidi: SAMT.Forum@gmail.com, +255758473994 (WhatsApp)

Jiandikisha kupitia link chini au andika kwa barua pepe juu au temebela ofisi za Habari Maalum Media au Chuo kupewa fomu ya usajili. Kamilisha usajili wako kwenye webpage hii, au rejea fomu iliyojazwa pamoja na barua la mapendekezo kwa email au kwa ofisi za Habari Maalum kabla ya tarehe 25 Mei 2019. Badaye ya usajili wako ulichunguzwa, utuapewa barua rasmi kabla ya tarehe 6 Juni 2019 kuhakikisha au kukataa ushiriki wako kwenye tukio hilo.

Ukipojiandikisha naomba tafakari:

1) Baadhi vya vipindi vitakuwa na maudhui maalum kulingana na utaalum tunazo. Tunaomba ujiandikishe kama msanii, mtaalum wa media, ama kiongozi wa ujamii.

2) Chuo cha Habari Maalum ipo KM10 nje ya Arusha Mjini na KM100 kutoka mpaka wa Kenya kwenye barabara ya Afrika Mashiriki. Vipindi vinaweza kuanza mapema kama saa 2 asubuhi, na kukiwsha kama saa 4 usiku.

Tukio hilo linatengenezwa na Habari Maalum Media na Chuo pamoja na Sauti ya Moyo Kimataifa (sehemu la OM Arts). Fuata viungo chini ili ujifunze zaidi kuhusu Media na Chuo cha Habari Maalum, Sauti ya Moyo wa Kimataifa, pamoja na sanaa za moyo na thamani yao katika uabudu.

Habari Maalum Media: http://www.habarimaalum.org/

Chuo cha Habari Maalum http://www.hmcollege.org/ http://hmc.ac.tz/

Sauti ya Moyo Kimataifa: http://heart-sounds.org/

Kwa habari zaidi kuhusu Sanaa ya Moyo na Ethnodoxology tembelea kurasa hizi:

International Council of Ethnodoxologists https://www.worldofworship.org/what-is-ethnodoxology/

Ethnodoxology Wikipedia: https://en.wikipedia.org/wiki/Ethnodoxology

OM Arts: https://omarts.org/

Proskuneo Ministries: https://proskuneo.org/

SIL Arts & Ethnomusicology https://www.sil.org/arts-ethnomusicology

FOMU YA USAJILI

      

Chagua utaalamu kwa ajili ya tukio: 

Barua ya Mapendekezo kutoka shirika lao inayosema sababu unafaa tukio hilo. (kuUpload au kutuma kwa  SAMT.Forum@gmail.com)

Address

Address :

P.O. Box 14645,Arusha,City Center along Namanga Road, Tanzania

Phone :

+255 753 867 114

Phone:

+255 744 904 040

Email:

This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Visitors Counter

030320
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
316
255
775
29104
3125
2634
30320
Your IP: 54.167.47.248
2019-05-24 17:13

Facebook Latest Post

About us

Tanzania like the other counties in Africa has grater development and growth potentials,yet faces different challenges.Although the country is rich in terms of natural and human resources,but lack of personnel and leaders integrity.Recorgnizing this challenge,Habari Maalum College,wants to play an important role in developing leaders and media personel who can lead and tranform this country and Africa as whole.We want to train leaders and managers who are key influencers in the society as well as Media personnel.